๐จ UPDATE - Mkataba wa Winga Erick Mwijage na Young Africans ni miaka miwili.
No worries, Kesho jioni anatarajia kuwasili jijini Dar Es Salaam akitokea Bukoba โ๏ธ๐ฐ
Wazawa waliosajiliwa hadi sasa
โ Juma Abushiri
โ Hussein Mihambo
โ Mohamed Mussa
โ Gamal
โ Erick Mwijage
๐จ Vilabu alivyopita MANQOBA MNGQITHI ๐ฟ๐ฆ ambaye ni kocha mpya wa Young Africans ๐น๐ฟ
โ Golden Arrows ๐ฟ๐ฆ
โ Chippa Utd ๐ฟ๐ฆ
โ Amazulu Fc ๐ฟ๐ฆ
โ Mamelodi ๐ฟ๐ฆ
Alikuwa Msaidizi wa Pitso Mosimane kwa mechi 3๏ธโฃ0๏ธโฃ3๏ธโฃ
๐๐๐๐ ๐๐๐๐ - Simba Sc ๐น๐ฟ imekamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Ibraheem Jabaar (23) ๐ณ๐ฌ kama mchezaji huru baada ya kuachana na Stellenbosch ๐ฟ๐ฆ
Jabaar ameichagua Simba baada ya ushawishi mkubwa wa Kocha Mkuu Steve Barker.
โ It's all Done & Sealed ๐ ๐ฆ