Nyota ya NTV Kenya imetuzwa katika tuzo za AFP mwaka 2021, hususan kwa ufanisi katika masuala ya afya. Tuzo hiyo hulenga kuwatunuku wanahabari waliofanya kazi murua katika kuripoti maswala ya upangaji uzazi kwa minajili ya kuleta mabadiliko katika jamii na taifa.
#NTVWikendi
.@AriMelber: Former President Trump tried to order the U.S. government to help him overturn his losing election, and the DOJ has the evidence to prove it.
https://t.co/Odq1hcKy6b