#Free@Sirjeff_D ! Ni siku 5 sasa ndugu yetu hajaonekana na pana taarifa anashikiliwa na mamlaka. Just a tweet caused that. We need justice for him. @TitoMagoti@Advocate_Jebra another tweep was arrested and taken into custody, five days ago.
X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
Our Commander of hand to mouth battalion have been detained without being taken to the court or being given his right to bail. we request him being released or we will file Habeas Corpus for our fellow hoof heater.
#freebuyobe@fbuyobe
Buyobe amekuwa ni miongoni mwa wale waliothubutu kutoa mawazo yao kwa uhuru, jambo ambalo linatambuliwa kisheria kama haki ya msingi ya kila raia.
Huu ni ukiukwaji wa wazi wa sheria na haki za binadamu, na vitendo vya aina hii vinapaswa kupingwa kwa nguvu zote.
Tunatoa wito kwa vyombo vyetu vya sheria hasa Jeshi la Polisi, Idara ya Upelelezi na Mahakama kuhakikisha kuwa kila hatua inachukuliwa kwa mujibu wa sheria.
Ni lazima kuwa na uwazi kamili kuhusu hali ya Buyobe na hatua zinazochukuliwa kwa sheria.
Kuendelea kumficha au kukosa kutoa taarifa juu ya mahali alipo ni ukiukaji wa haki za kikatiba na ni lazima kuwekewa muktadha wa kisheria.
Hii ni nafasi ya haki kutendeka.
Tunasisitiza kuwa tukio hili linahitaji uchunguzi wa kina na hatua madhubuti kuchukuliwa dhidi ya waliohusika na ukamataji huu, kwa kuzingatia misingi ya sheria na utawala bora.
Hatuwezi kukubali utawala wa sheria kuchezewa kwa namna hii. Haki lazima itendeke, bila kujali vizingiti vya kisiasa. #FreeBuyombe
“Kwa kuwa serikali haina uhalali wowote, CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na Samia Suluhu Hassan wala Serikali ya CCM, itakayoaminika na watanzania na jumuiya ya kimataifa”
“Itasimamiwa na mashirika ya kimataifa yenye kuamininika na yenye uwezo kama vile Umoja wa Mataifa, AU na SADC, itarejesha utulivu, haki za kisiasa na kiraia, itafungua anga la kisiasa na uhuru wa kujieleza, itaratibu uchaguzi mpya wa kitaifa kwa uwazi, uadilifu na uangalizi huru wa kimataifa”
“Itahakikisha kuachiwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa na wote waliofunguliwa kesi za uongo, itahakikisha kuachiliwa kwa wote waliotekwa nyara na kufichwa katika mahabusu” —- John Heche
#MIllardAyoUPDATES