@CarolNdosi Public recreation centres kama gardens watu wapumzike na kujisomea, viwanja vya michezo mbali mbali ili tuwe na kizazi afya kupitia michezo atleast hizo kwa sasa
@MalemboLE Zamani vijijini tulikunywa togwa na rubisi sasa utandawazi umevuruga kila kitu ni Soda na energy drinks watu wetu wataangamia mda siyo mrefu
@EsirEid Kwanza siyo kweli kwamba hakuna ajira nchi hii maana sekta inaupungufu wa wafanyakazi ila serikali aina uchumi wa ku ajiri serikali ijikite kwenye kuongeza uchumi ili kupandisha wage bill ili iweze ku accommodate watu wengi zaidi maana haohao mnaosema awana ujuzi wanahitajika
@KennedyMmari Chief of staff wa jeshi la Nigeria alisha sema hiyo issue na kisa kikuu ni Nigeria kukataa kuwa na base za jeshi la marekani simple as that