Msaada gani unaweza kutoa kwa msichana aliyefanyiwa ukeketaji?
1.Tafuta msaada wa haraka wa kiafya.
2.Mtie moyo na toa maneno ya faraja.
3.Ongea maongezi chanya, asijionee huruma
4.Muunganishe na mashirika yanayosaidia waathirika wa ukeketaji.
#EndFGM#TokomezaUKEKETAJI
Haki za wasichana ni muhimu! Mangariba hutumia vifaa mbalimbali kama vile wembe na kisu kukeketa. Msimu wa ukeketaji huongezeka zaidi mwezi wa Desemba. Tuungane kuzuia ukatili huu na kulinda mustakabali wa watoto wetu
#EndFgm#TokomezaUKEKETAJI
Wazee wanatambua ubaya na athari za ukeketaji, lakini walikiri kwamba kuachana na mila hiyo inawezekana, ingawa si kwa kasi wanayotaka wadau. #EndFgm#tokomezaUKEKETAJI
Wanakijiji wanaamini kuwa kama utamaduni wa kutoboa masikio ulipotea kwa Wakurya, basi hata ukeketaji utaisha. Wananchi wanakiri kuwa na imani zaidi na ushauri au mafunzo kutoka kwa watu kama wao. #EndFgm#tokomezaUKEKETAJI
Mtandao wa kutokomeza ukeketaji Tanzania upo Mkoa wa Mara kwa siku 3 za kutembelea jamii na Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024. Ungana nasi tukikuletea matukio yote na yatakayojiri
#EndFgm#tokomezaUKEKETAJI
As the week winds up, our commitment to ending FGM remains unwavering.Weekends aren't a break from ADVOCAY; the are an opportunity to spread more awareness, educate and empower.
Let's keep pushing for change
Happy weekend Ya'llπ
To win the fight against FGM,we must first understand what it is in detail, where it's practiced the most and it's effects. Let's make an effort to read and learn more on our medium account
#EndFgm#endfgmnow#saynotofgm#fgmawareness
https://t.co/EG69qZMJUQ
Young people are devoted to hold key stakeholder and member states accountable to ensuring an end to Female Genital Mutilation #EndFGM
Let us not merely dream, but create a world with young people at the center! @GPtoEndFGM@GlobalSpotlight@_AfricanUnion@UNFPA@CostlyDr
Together, we can end FGM. Every voice counts in the fight against this harmful practice. Stay strong, stay united, and let's make a difference. #EndFGM#Activism#HumanRights"
#saynotofgm
Hello to all Anti-FGM Activists, today is the fourth day of our challenge our FGM awareness CHALLENGE!
Please feel free to join. Tag your friend and give out your opinion
#fgmawarenesschallenge#fgmawareness#EndFgm#saynotofgm
"What about male circumcision?"
A question we often get asked at talks and lectures that we give, so we thought we would make a post about it!
Read on to find out more π
(1/7π§΅)