Hii ni project yangu mpya kabisa Inaitwa NISHIKE MKONO ambayo nimewashika yatima na waishio kwenye mazingira magumu. Lengo kuu kabisa ni kuweza kunyanyua vipaji vyao na kutimiza ndoto zao natumaini tutakuwa pamoja katika kutimiza ndoto zao retweet ili tupigane kwa pamoja🙏💕