@emabilly2001 Utasika โHuyu ndiye yule kapteni ambaye alianza malezi yake ya Soka pale katika club ya KRC Genk na ni mtoto wa 3 katika familia ya mzee Perez na ana Wadogo wawili wanaokipiga katika club ya feyenoordโ Inshort Hawa Azam wanakera sana hua unaweza ukatoa sauti
@Innocen89950594 Hii ni Kamba kubabake Yani kwa kipindi cha miez 8 umenunua kiwanja bunju, kujenga, kujaza vitu Geto ๐ au mwnanagu una kazi gani๐๐๐ elewa neno miez 8 ๐๐