Jeshi la polisi @tanpol mmempeleka kituo gani huyu Agalla Lukas mliyemshusha kwenye basi la New Force Sangasanga Morogoro check point?
Mkiendelea kukaa kimya nitaweka details za huyu askari aitwaye Kidila aliyehusika na tukio hili yeye na wenzake watatu. Nimepata file lake mpaka namba yake ya simu na kituo chake cha kazi hapo Morogoro. Halafu nitaweka hadharani picha yake na majina pamoja na namba zake simu huku tukifikiria hatua zingine za kisheria za kuchukua dhidi yake.
Polisi acheni kufanya kazi kwa mazoea, nchi inaendeshwa kwa katiba, sheria, kanuni na miongozo. Kuteka na kuwapoteza watuhumiwa ni kulihujumu jeshi la Magereza.
@godbless_lema Eti una ujasiri!! Mbona ulikimbia nchi kwani hukujua kuna kufa kwa ajili ya kupata tume huru na katiba mpya, acha uongo wewe anza kufa wewe na mbowe halafu tuone kifuatacho, usifundishe watu uongo ambao unajua wewe huwezi kuwa front
@privaldinho Weee mbwa hangaika na utopolo wako mbona unafungwa humuulizi kocha wenu unahangaika na timu ambayo huwezi sikilizwa hata robo ya sekunde wale wana akili sio nyie mmebeba makopo kichwani mnafukuza kocha kwa kisingizio halafu mmeleta mwenye rekodi ya hovyo na nyie ni hovyo tu
@privaldinho Degree ys biashara na UCHUKI hili ndo kubwa kuliko ,hivi wewe mbwa ukikaa kimya utaonekana hujui falaa shoga mweupe, unajifanya unamjua sana kuliko mama yako ,, Akili ya vyura wanajifanya kila kitu wanajua kumbe mavi debe
@godbless_lema Hata raisi pia mpe maua yake alichangia gharama za matibabu halafu baadae mnasema ni mbaya mama wa abduli ila Zaidi Mungu ni mkuu amedhihirisha ukuu wake tumshukuru sote
@godbless_lema Kama upo arusha nenda kwenye Ranger Rover festival ujumuike na makonda upate la kukosoa
Ila kuhusu kujiandikisha kama serikali inakiuka taratibu ujue na nyie chadema mnakiuka mbona mbowe has haachii uenyekiti? Je siku akawa rais si ataongoza milele na kurithisha mtoto wake
@ExMayorUbungo Huna hoja kabisa ,wamefikisha miaka 18 hawana haki ya kujiandikisha??? Au unataka mpaka wake na kuolewa ndo wawe tayari kupiga kura, kuna mahali sisi wananchi tunashindwa kuwaelewa,
Mimi mwenyewe nikiwa na miaka 18 nilijiandikishaga enzi hizo utaniambia nini nikuelewe hoja yak
Nimecheka sana. Kwa mwaka tu profit ya shirika hili ambalo linamilikiwa na Mzee Shirima (42%) angalai faida yao. Pengine hamjui vizuri shirima. Hapo hajamgusa kigogo mmoja anaitwa Ernest Massawe. Familia ya Ngaleku utajiiri wao kwa maana
Ya assest nk wanaweza kufika 500b + basi tu hawa wazee hawakuwa na mbwembwe za kujulikana. Mfano Ngaleku mpaka anakufa wengi hawakikua Precision kama
Ameaamzisha yeye miaka 1993
@godbless_lema Watakao andamana ni mazuzu wenzio, yaani niache kutafuta mkate wa watoto nije niandamane ili mbowe ,lema, Lisu wapate posho hakunaga mjinga
@godbless_lema Lema unasema tendeni haki mbona wewe hautendi haki?? Unaingiliaje mambo ya mpira na mambo ya kupotea watu, kwa hiyo mpira tusiushangilie tufanyaje wewe ni mjinga, eti unatafutwa ama unajihami mzee, mimi siasa sijui ila mpira hauniambii kitu mzee tengeneza taifa lako uzuie mpira
@godbless_lema Kila mtu apambanie maisha yake, kwani kwa sasa si unakula na hao wanao basi wakulilie wao wengine hatuna tatizo na serikali tutauwawa kwa nini, endelea kujitetea mwenyewe maana una njaa na shida kibao kila siku hakuna kiongozi wa serikali anafanya jema kwako yote ni mabaya
@TheRealJongwe Pole sana lakini unatakiwa wakuvunje taya ili muacha vichwa ngumu, tunakushangaa sana una kila kitu unataka nini na chadema ya wachaga????