@DanyeMufasa Hii niliifanya. Baada ya kumpa 10000 si akaweka kwa nyuma ya cover alivyoenda msalani. Nikaichomoa.
Oyaa hakuna tusi sikupewa alivyofika home kwake.
๐๐๐๐
@MwanyikaRo3608@Sisimizi3@SuluhuSamia Mkiona Dkt, Mhe, Kanali, Captain
Mnadhani ni majina tu. Ni vyeo juu ya vyeo.
Kuwa na cheo Cha Ubalozi ni nje ya ukatibu wake so hapo ni Another Crown amevalishwa.
@George_Ambangil Ni Red ya kizembe kwa dogo. Kwanza kujua kabisa kuna partner ataweza nisaidia then you pulling ni dhahiri umedhamiria Straight Red Card.
He deserved