Zile MILIONI 500 za Mfalme Shangwe ndio zinazidi kumegeka. Na kwa furaha ya Wanasimba leo ndani ya Clouds Fm kuna ZAGA ZAGA LA SOMBA SOMBA, yaani kuna washindi 7 ambao watajishindia MILIONI MOJA kila mmoja na jezi namba 7 ya mwamba toka Comeroon Leandre Willy Essomba Onana.🔥🔥🔥
N.B: Viwili tu vinatosha 😀😀
Jinsi ya kushiriki sasa kwa M-Pesa | Tigo Pesa.
- Chagua lipa bili.
- Namba ya kampuni 909192.
- Kumbukumbu namba neno Simba
- Kiasi kuanzia Tsh. 1,000 au zaidi.
Airtel Money
- Chagua 5 Lipa bili
- Chagua 6 Bahati nasibu.
- Chagua 27 Shabiki Bingwa.
- Kumbukumbu namba - Simba
@shabikibingwa_ 📞 0748 772 990
#UshabikiWenyeFaida #WenyeNchi #mfalmeshangwe
#NguvuMoja 🦁🏆 18+
Semaji Ahmed Ally leo alikuwa na Wanasimba wa eneo la Tabata Mwananchi akichambua magazeti yaliyoandika habari ya ushindi dhidi ya Wydad pamoja na kupitia magoli ya mchezo huo. #WenyeNchi#NguvuMoja
Our boys had something special up their sleeves today, and showed incredible determination and skill to secure a well-deserved victory!
#NguvuMoja#SimbaWins#TotalEnergiesCAFCL
“Huu ni ushindi wa timu, tulicheza kama timu na tumeshinda kama timu. Mashabiki walitupa sana nguvu ya kupambana, tunawaomba waendelee kuwa wanakuja kutushangilia.”- Leandre Willy Onana.
Video zaidi kwenye YouTube - Simba SC Tanzania na Simba App. #WenyeNchi#NguvuMoja