Ee Mungu mioyo yetu imejaa mengi tusiyoweza kuyaeleza na yakaisha ...Mungu tunaomba zisikilize nyoyo zetu,katende sawa na mapenzi yako ili tupate kukutii wewe🤲🧎♀️
Ee Mungu mioyo yetu imejaa mengi tusiyoweza kuyaeleza na yakaisha ...Mungu tunaomba zisikilize nyoyo zetu,katende sawa na mapenzi yako ili tupate kukutii wewe🤲🧎♀️
@Bigsyke20 kutuokoa kwa kila aina ya ouvu
Na pia Mungu /Yesu hana dini
Wokovu ni kuishi yale matendo yakumpendeza ambayo yatafanya wewe usiangukie kwenye dhambi tena na hapa utaongozwa na Roho Mtakatifu ili usijikwae tena
Ila dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu kwahiyo wewe