@visionradio891 Thanks for the show Bright Arsenal will losse the game tonight I'm Agaba Eric Bernard I'm streaming live in Arusha Tanzania tunakupenda sana Bright your the best in Town.
#MICHEZO: Baada ya Klabu ya Yanga kupoteza nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali Ligi ya mabingwa barani Afrika 2025, Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Sead Ramovic ametupa lawama Ligi Kuu Tanzania bara kuwa imekosa ushindani wa kuwafanya washindane katika michuano ya kimataifa.
Kocha huyo raia wa Ujerumani ametoa maneno hayo baada ya kutoka suluhu dhidi ya MC Alger Uwanja wa Benjamin Mkapa Januari 18/2025 katika mchezo wa mwisho wa makundi.
“Tunapaswa kuwa wakweli kwamba ligi ya hapa Tanzania, ushindani unapocheza dhidi ya timu nyingine, si mkubwa sana. Kama unafuatilia ligi za Algeria, Afrika Kusini, Morocco, Tunisia, tunahitaji nguvu hiyo ya juu ili kushindana” - Sead Ramovic Coach Yanga Sc
Je, unaunga mkono hoja yake kwa asilimia ngapi?
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Thanks for the show Bright I think we are going to lose 2-1 #Man u atueleweka nipo Arusha Tanzania I'm streaming live my greetings to all ob's and og's Mbarara sec.
@visionradio891 Thanks for the show Bright it's a sure wine for man u manager to night I'm Agaba Eric streaming live in Arusha https://t.co/FRBLTpzwLp is Mbarara Bright.
���� Manchester United are set to decide the future of Erik ten Hag at a club meeting TODAY...
Ruud van Nistelrooy is favoured to take over as interim boss if a change is made🤨