"Ndoa kuvunjika ni sababu ya mwanamke"
lakini
"Familia kushindwa kupata mahitaji muhimu sababu ni mwanaume"
Haijalishi nani kasababisha nini...
(Chinua achebe
Au labda tumepumzika muda wa kutafuta na tumetafuta muda wa kupumzika
Basi, Ikawe ni kwa ukubwa kama jina lake lilivyo kubwa..
Ikawe kwa wema kama alivyomwema
JANA NA LEO 🙏
Kamwe usimharibie maisha mwanaume mwenzako
kisa
Una uwezo, cheo hata nguvu ulizo nazo. mwisho linda sana hisia zake linapokuja suala la familia yake na utafutaji wake ��️.
Wazee kule Tabora bado wanasisitiza kwamba...
"Neema ya Mungu huwa inakaa kwenye nyumba ya mtu mwenye BIDII, UWAJIBIKAJI NA NIDHAMU na siyo kamari inayosubili bahati...
Kwa chochote kile kifanye kama hakuna KESHO!!
Katika mchakato wa kuipambania kesho njema, hatuwezi kuipata kwa kuharibia wengine...
matajiri wanazihofia sana juhudi zetu...
wanatulazimisha tuendelee kumaliza tatizo kwa matatizo ..
"Kuuishi uhalisia ni ngumu sana heshima hakuna, ni maisha ya aibu kubwa, kunahitaji wanaume wenye ndoto kubwa na maamuzi ya kuishinda tamaa"
Katika mchakato wa kuitetea brand waacheni vijana wafake life.
We are not hustling to impress or be in a competition with anyone...
Mwisho wa siku familia tutakazotengeneza sisi ni bora kuliko familia walizotengeneza wenzetu.
"TABORA ni yumbani huku matembezi tu!!"
We're not lost. The fog of our success may be thick, but our faith in a better tomorrow is stronger. It's just time that we need, and we shall keep pushing. And with such detereminataion, we will reach the top
RISE ABOVE STRUGGLE
Baraka huja ukiacha kulalamika na kushukuru unachojaliwa!
Moyo huchukia vingi lakini siyo pesa, nafsi hutamani vingi lakini si kifo, macho huona vingi lakini siyo kesho,
NYUMA YA KILE UNACHOKIONEA WIVU KUNA HADITHI USIYOIJUA, JIFUNZE KUKINAI...
"Mpambanaji mzuri siyo yule anayeshinda kila wakati!"
Si baraka ya haraka, Ni matokeo ya uthubutu na uwezo wa kujaribu mara nyingi..
KISICHOUA KINAKOMAZA!!!
Vinavyodumu huja kwa Haki, mchakato, heshima, uvumilivu
Ni baraka kwa wachache wenye uwezo wa kusubili!
ni kama zawadi kwa walio na ujasiri wa kujaribu.,
HUJA NA MUNGU NDANI YAKE...