Oktoba29 Tunatiki Samia amefanikisha kuongezeka kwa bei ya korosho kutoka shilingi 2,707 kwa bei ya juu kwa kilo moja hadi kufikia shilingi 4,195 kwa kilo moja kwa bei ya juu mwaka 2024.
Mgombea nafasi ya Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshafanya mikutano zaidi ya 77 tangu kuanza kwa kampeni.
Kila alipopita wananchi wamesema Oktoba29 Tunatiki Samia.
Vikundi vitano vya vijana kutoka Halmashauri ya Jiji la Mwanza wamenufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 360 uliowawezesha kuanzisha shamba la ufugaji samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria.
Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kipande cha SGR Morogoro - Makutupora chenye urefu wa kilometa 422 kimekamilika kwa asilimia 97.98.
Oktoba29 Tunatiki Samia ameendeleza na kukamilisha miradi iliyoachwa na watangulizi wake.
Shule ya sekondari Lake Eyasi halmashauri ya Karatu.
Wananchi wa Mang'ola wameishukuru Serikali ya Awamu ya sita kwa kujenga shule hiyo, ambayo imekidhi haja na matakwa yao, kutokana na watoto wao kuteseka kutembea umbali mrefu.
Zaidi ya shilingi milioni 348 zatumika kujenga Shule mpya ya Matala B katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kupitia mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika ujifunzaji bora kwa Elimu ya Awali na Msingi (Boost).
Oktoba29 Tunatiki Samia
Jengo jipya la wagonjwa wa nje yaani (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli limeanza kutumika na huduma zimeanza kutolewa. Oktoba29 Tunatiki Samia
SAMIA NEWS 🔥
Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Arusha mjini, jana Oktoba 02, 2025.
#OktobaTunatiki#KaziNaUtuTunasongaMbele
Maboresho yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita kwenye sekta ya madini yazaa matunda na sasa sekta hiyo imeongeza mchango kwenye Pato la Taifa.
Katika 2024, Mchango wa Sekta ya Madini umeongezeka hadi asilimia 10.1% ya GDP, ikipita malengo yaliyowekwa kwa mwaka 2025
Oktoba29 Tunatiki Samia
TZS bilioni 17 zinatumika kuboresha Uwanja wa Ndege Arusha.
Utakamilika Desemba 2025. Kuanzia Januari 2026 utatoa huduma kwa saa 24.
Oktoba29 Tunatiki Samia.
Zaidi ya shilingi milioni 348 zatumika kujenga Shule mpya ya Matala B katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kupitia mradi wa Kuboresha Upatikanaji wa Fursa sawa katika ujifunzaji bora kwa Elimu ya Awali na Msingi (Boost).
Oktoba29 Tunatiki Samia
Shule ya sekondari Lake Eyasi halmashauri ya Karatu.
Wananchi wa Mang'ola wameishukuru Serikali ya Awamu ya sita kwa kujenga shule hiyo, ambayo imekidhi haja na matakwa yao, kutokana na watoto wao kuteseka kutembea umbali mrefu.
Oktoba29 Tunatiki Samia
Jengo jipya la wagonjwa wa nje yaani (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya Monduli limeanza kutumika na huduma zimeanza kutolewa.
Oktoba29 Tunatiki Samia