Vane Ontweka kutoka Kenya amejifungua watoto wanne na kuwapa majina ya Raila, Amolo, Odinga na Ida ambayo ni majina ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na mke wake.
Viongozi wa Hospitali ya Nyanchwa, Kisii wameiomba jamii kumsaidia mama huyo ambaye pia ana pacha wengine wawili, ili aweze kulea watoto hao.
@MDigala24@MaxTz255_ Hata siku we utakapokuwa ume kata kauli kuna baadhi ya watu watafurahia msiba wako kutokana na mambo ambayo unafanya yasiyompendeza mwenyezi Mungu na ndugu zako!!