@KennedyMmari Mfano Tanzania; unachagua kiwanja kupitia Mfumo wa Tausi, halmashauri utakayo, inakupa geo data ya eneo husika, ukipendezwa mfumo unakula control number ukikamilisha malipo, unaenda halmashaur husika unafungua file la hati ndani ya mwez unapewa hati wizarani.
@NormanJonasMD incentive for live delivery, sidhani km inafaa na inadogosha proffesionalism, ni vyema kuwe posho za mazingira magum, nyumba za kuishi, motisha za kuendelezwa kimasomo kwa wataalam watakaoamua kupangiwa vituo vya mbali, promotion za waz kwa watendaji wazuri.
@MarekaMalili Kitu pekee tusichokijua, africa tuna mfumo wetu wa kipekee wa kiuchumi, kulingana jamii zetu na mazingira, ni sawa na tunavyohangaika kufananisha demokrasia ya kiafrica na europe, kosa hilo hilo linajirudia kwenye mfumo wetu wa kiuchumi, boda boda na machinga ni zao hilo.