Mmeuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29 na ndugu zetu wengine mpaka leo bado wanauguza majeraha ya risasi na wengine mmewasababishia vilema vya maisha.🥹
Tangu Idd Amin Mama aingie madarakani hadi leo ameteka kupoteza watu zaidi ya 600 tena hii ni kwa mujibu wa Report wenu yenyewe.
Lakin bado hajamaridhika mnaendelea kuteka na kupoteza ndugu zetu, imetosha sana mwachieni @Ninja_Damour na watu wote mliowateka.
#FreeNinjaDamour #FreeDamour
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
REPOST 200
TUTAKUWEPO���🏾😎
Jeshi la polisi limekaa kimya na ndugu yetu NICODEMUS.
Kwenye UTEKWAJI wake alikuwepo MSAIDIZI WA MAFWELE “GEORGE” kwahiyo tunajua yupo mikononi mwajeshi la polisi.
#FreeNicodemus
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kiutani utani huyu jamaa naye tunaweza kumsahau kama mdude na wengineo tuendelee kupaza sauti kama ana kesi apelekwe mahakamani ase. Sijui kwa nini watu wanaopigania haki ndio maadui wakubwa kwenye nchi hii💔
#FreeLoyore@MariaSTsehai@sativa255@Twaha_Mwaipaya