Welcome to our official page of the European Union Youth Sounding Board in Tanzania. Our goal is to engage, connect, and amplify the voices of young people. Stay tuned for more updates on our journey and initiatives.
#YSBTanzania#Engage#Empower#Connect
Karibu kwenye ukurasa wetu rasmi wa Bodi ya Sauti ya Vijana wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania. Lengo letu ni kushirikisha, kuunganisha, na kupaza sauti za vijana. Kwa taarifa zaidi kuhusiana na kazi tunazozifanya, endelea kutufuatilia.
#YSBTanzania#Shirikisha#Wezesha#Unganisha
Tunasimama pamoja na Ukraine ๐บ๐ฆ
Leo katika Umoja House, bendera ya ๐บ๐ฆ imepandishwa na Ujumbe wa ๐ช๐บ, pamoja na Ubalozi wa Uholanzi, Ubalozi wa Uingereza na Ubalozi wa Ujerumani, mbele ya Kaimu Balozi wa @UKR_In_Tanzania, Bw. Maksym Nemyria.
Hii ni ishara ya mshikamano wa pamoja.
๐บ๐ฆ๐น๐ฟ A Tanzanian Perspective from Ukraine
Tanzanian journalist @ThatBoyKhalifax travelled to Ukraine and witnessed the human cost of war first-hand.
Destroyed communities. Civilians under attack. Lives disrupted by a conflict that should never have happened.
#StandWithUkriane
A good neighbour is medicine for the heart ๐
Episode 5 shows how the European Union (EU)โs experience ๐ช๐บ can open new opportunities for young people and entrepreneurs in the East African Community (EAC).
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
Jirani mwema ni dawa ya moyo ๐
Sehemu ya 5 inaonyesha jinsi uzoefu wa Umoja wa Ulaya (EU) ๐ช๐บ unavyoweza kufungua fursa kwa vijana na wajasiriamali katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
What is the European Union and who does what? ๐ช๐บ
In Episode 4, we introduce the three main institutions that lead the EU, each playing a role in ensuring democratic decision-making and accountability
๐๏ธ European Parliament
๐ค Council of the European Union
โ๏ธ European Commission
Umoja wa Ulaya ni Nini? Na Nani Anafanya Nini? ๐ช๐บ
Katika sehemu ya 4, tunakuletea Taasisi Kuu 3 zinazosimamia uongozi wa EU, zote zikifanya kazi kwa demokrasia na uwajibikaji:
๐๏ธ Bunge la Ulaya
๐ค Baraza la Mawaziri wa EU
โ๏ธ Tume ya Ulaya
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
๐ข Call for Applications: Sakharov Fellowship for Human Rights Defenders are now open!
ย
โ 14 positions for human rights defenders from non-EU countries
โ 2 weeks of intensive training
ย
Join the Sakharov Community of Human Rights Defenders โฌ๏ธ
https://t.co/ECOWNajgFk
This network brings together Tanzanians who have benefited from ๐ฉ๐ฐ funded programs,and itโs a great example of the strong cooperation between ๐ช๐บ & Tz.
Tell us, how do you think networks like this can impact Tanzaniaโs future while strengthening the collaboration btn the Two?๐ช๐บ๐น๐ฟ
How was it when you joined a new network for the first time? ๐คโจ
Yesterday, our fellow members Hellen, Thabiti, Genila pamoja na Julius also Danida Fellows, attended the annual general meeting (AGM) of the Danida Alumni Network Tanzania.
Ilikuaje siku ambayo ulijunga kwnye mtandao Mpya kwa mara yako ya kwanza?๐ค
Siku ya jana, wajumbe wenzetu @hellen_sisya ,Thabiti John, @MsGenila
na @JuliMuhindi ambao pia Danida Fellows, walihudhuria mkutano mkuu wa Mtandao wa wahitimu wa programs mbalimbali za Danida nchini.
Hellen, Thabiti and Genila joined for the very first time as new members ๐๐. As beneficiaries of Denmark-funded programs ๐ฉ๐ฐ๐ค๐น๐ฟ, they got to see firsthand how this network connects Tanzanians who have benefited from these initiatives ๐ก๐ค
Mtandao huu ni mfano mzuri wa ushirikiano thabiti kati ya #TeamEurope na Tanzania, ukiwaleta pamoja watu wanaoweza kuleta mabadiliko chanya.
Tuambie, unadhani mtandao kama huu unaweza vipi kuchangia katika maendeleo ya ๐น๐ฟ na kuimarisha ushirikiano kati ya Tz na #TeamEurope?๐น๐ฟ๐ช๐บ
Ilikuaje siku ambayo ulijunga kwnye mtandao Mpya kwa mara yako ya kwanza?๐ค
Siku ya jana, wajumbe wenzetu @hellen_sisya ,Thabiti John, @MsGenila
na @JuliMuhindi ambao pia Danida Fellows, walihudhuria mkutano mkuu wa Mtandao wa wahitimu wa programs mbalimbali za Danida nchini.
Hellen, Thabiti na Genila wao walishiriki kwa mara yao ya kwanza kama wanachama wapya ๐๐. Wakiwa wanufaika wa programu zinazofadhiliwa na Denmark ๐ฉ๐ฐ๐ค๐น๐ฟ, waliweza kujifunza namna mtandao huu unavyowaunganisha Watanzania waliopata fursa kupitia programu hizi ๐ก๐ค
Timu Ulaya si jina tu โ ni ahadi. ๐คโจ
#TimuUlaya ni ushirikiano wa EU, na nchi wanachama wake, washirika na taasisi mbalimbali wanaofanya kazi kama timu moja, wakichanganya nguvu na mawazo kukabiliana na changamoto na kuleta mabadiliko ya kudumu. ๐ช๐บ
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
๐โจ Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania unawatakia Krismasi Njema ๐ ๐ na Heri ya Mwaka Mpya wenye furaha, afya njema na mafanikio ๐๐
Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya! ๐ฉ๐ช๐ค๐น๐ฟ
Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu linatupa msingi unaotuunganisha soteโbila kujali kabila, jinsia, imani au asili yetu.
Katika Nyakati za changamoto haki yetu ya usalama, uhuru wa kujieleza na kushiriki katika maamuzi yanayounda dunia yetu ni nguzo muhimu.
#HumanRightsDay
On this #HumanRightsDay, the EU remains steadfast in its commitment to safeguard human rights at home and abroad, and to ensure peace, truth, justice and accountability.
Read the full Statement by the High Representative on behalf of the European Union.
https://t.co/mjX96hnpXS
Tamko la Pamoja kutoka Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway, Uswisi, Ubelgiji, Denmark, Ufini, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Poland, Slovakia, Hispania, Uswidi, na Ujumbe wa Umoja wa Ulaya kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania.
Joint Statement by the British High Commission, the Canadian High Commission, the Embassies of Norway, Switzerland, Belgium, Denmark, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, the Netherlands, Poland, Slovakia, Spain, Sweden, and the EU Delegation, on Recent Events in Tanzania.