Nakmbuka nikiwa Md3 kuna dogo alikuwa Md1 tumepiga nae shule moja,dogo akaanza mishe za biashara akiwa MD1 mim nikamshauri kuwa awe makini na biashara maana sio rahs kupiga Biashara na Md vikaenda sawa ,dg aliacha MD,mara ya kwanza nilijua amefanya mistake now nadhan alikua sahih
@MatumlaAJ@benisai9@OnlineDentistTz@MVaslisa Kaka nimekutana na watu wamesoma china hajui chochote. Kuhus medicine Yani mwingine alikuwa hajui orthopedic inadeal na Nini, hata kama mnasoma vitu tofauti medicine ni universal language kitakacho tofauutina ni vitendea kazi
@TzMuta@Isayadicksonjr Hawa ambao hawakutoboa hasa wakienda Nje ugeuka na kujifanya haters, watu tunajuana , tunajua nani alienda abroad sababu ya kupenda na exposure na nani marks hazikutosha 😀😀
@Isayadicksonjr@Mwakasoke_jr@MatumlaAJ Kusoma Chuo kizuri sio Pride bana ni kuelezea Ukweli, watu wakubali kwa Tanzania upande wa medicine 💊 MUHAS Ni Mfano wa Kuigwa na kitaendelea kuwa Ndoto za watu Wengi
@exdamas@makumbawaleo_5n Na ni chuo Bora kwa Merit sio kwa kubahatisha,
Kama Mtu Kweli unafuatilia medicine kwa Tanzania usipotambua ubora wa Muhas basi utakuwa unaigiza 😀😀
@Isayadicksonjr@Mwakasoke_jr@MatumlaAJ China Bado ni Janga mzee, Hadi Sahivi interns waliopiga china pasipo elective Wana shida, na sio kuwa hatujali tunajali
@MatumlaAJ@Isayadicksonjr Wewe jamaa nakuelewa na unaishi kwa mifano, lakini sio Kila anaenda nje basi alitaka kwenda wengine wamekosa option, ndo maana wanarud wanaajiriwa tamisemi na kupiga MMed muhas Tena, Hawa watu huwezi niambia Wana exposure na imewasaidia
@MVaslisa@kalegamyeh Ndo urudi tamisemi ule 900k
Ukomae kusema aliesoma Bongo hna exposure, then baadae uapply vyuo vya Bongo 😀😀 Kwa ajili ya MMEd Sion kama hata inamake Sense