BRO TO BRO
Wakati mvulana anavunjika moyo,
Atabadilisha tu msichana .
Wakati mwanaume anavunjika moyo,
Anabaki peke yake na anajijenga mwenyewe kuwa mfalme.
Dear Men,Leve up don't give up!
BRO TO BRO
Wewe ni mwanaume usikimbilie kuthibitisha thamani yako kwa watu. Jenga maisha ambayo hata wewe mwenyewe utajivunia ukiwa peke yako.
Kuwa na Nidhamu, Linda amani yako, Linda afya yako, Linda familia yako. Na zaidi ya yote, linda mwelekeo wa maisha yako ndio HAZINA