@CRYPTOHomeTz umeongelea kuhusu suala la utapeki na ww ukiwa tapeli namba moja acha zako kakangu ....kuwa mtu real huna haja ya kujinadi na nyuma ya pazia uko mwizi mtupu
@CRYPTOHomeTz umewaaminisha vijana wengi kuwa una robot , la boom na crash , mda huo huo umepoteza pesa nyingi za watu kwa kuwaambia unafanya uwekezaji usio na hasara kinyume chake umetembea na pesa za wabongo wengi sana ...
@CRYPTOHomeTz kaka yaani ngoja nicheke kwanza , ulisahau kuwambia START TV , UDANGANYIFU , UTAPELI UNAO UFANYA KWA MADGO WA KIBONGO , KWA UMESHIKILIA PESA ZA VIJANA WENGI NA HUTAKI KUZILIPA KWA NINI , ??? ..NA UMESEMA HAPO SUALA LA UDANGANYIFU ....
@CRYPTOHomeTz START TV , walikuwa hawana haja ya kuki hoji wewe , unafanya udanganyifu kwa vijana na umeshikilia pesa zao nyingi sana then kwa namna ipi uhojiwe na start tv , ulisahau kueleza wizi pia unao ufanya kwa vijana wakibongo ..... na umeongelea suala la udanganyifu lkn ww ni no 1
@CRYPTOHomeTz kaka unaonesha tu account ulizo pata , LAKINI ACCOUNT ZILIZO UNGUA HAUONESHI NA NAMNA UNAVO WA BLOKI VIJANA WANAO DAI PESA ZAO HAUONESHI ...HUU NI UPUMBAVU ERASTO MGENI , ACHA UDANGANYIFU NDUGU ...UNA RISK UHAI WAKO KAKANGU ...
@CRYPTOHomeTz huu ni utopolo mtupu kabisa yani , kaka erasto na kila ababu za jukuita mdanganyifu sababu ya udanganyifu unao ufanya kwa vijana walio kwenye industry hi ...simply na kushauri ULIPE MADENI YA WATU WANAO KUDAI ...WATANZNIA WENGI WAMETUMBUKIA KWENYE MIKONO YAKO YA KIUDANGANYIFU
@CRYPTOHomeTz kaka huna haja ya kuinspire vijana kwa namna yoyote ile , UNAJIONESHA KUWA MWEMA NA MWENYE UJUZI KWA WATANZANIA LKM UMETAPEKI VIJANA WENGI , NA UNASEMA UNAKUJA NA PROJECT MPYA YA CRYTPO WATANZANIA INABIDI WAIKIMBIE KAMA DEFENDA ....... KAKA LIPA PESA ZA WATU ACHA UJANJA UJANJA
@CRYPTOHomeTz sasa boss , unagengeneza pesa nyingi sana , lkn iwaje unashindwa kuwalipa vijana pesa zao wanazo kudai ...umewarubuni kwa mitego mbali mbali ikiwemo uwekezaji , accoubt managemnt , ROBOT ..mbongo gani ww unarobot na unachoma account za watu ??? unarisk uhai wako kakangu ,
@CRYPTOHomeTz sasa boss , unagengeneza pesa nyingi sana , lkn iwaje unashindwa kuwalipa vijana pesa zao wanazo kudai ...umewarubuni kwa mitego mbali mbali ikiwemo uwekezaji , accoubt managemnt , ROBOT ..mbongo gani ww unarobot na unachoma account za watu ??? unarisk uhai wako kakangu ,
@CRYPTOHomeTz@KagaArts umedanganya wabongo wengi sana kwa issue za account management , robot sijui , uwekezaji , na unaproject yako ya crypto inakuja ni nawashauri watanzania wakuogope zaidi ya defenda ....na unahitaji hukumu
@CRYPTOHomeTz@KagaArts hivi kaka erasto unae muinspire ni nani , ni heri ufute kabisa huku kwenye mitandao ya kijamii lkn sio kupumbaza watu kwa screen shot za uongo , au za kubahatisha wakati huo huo umeshikilia pesa nyingi sana mikononi mwako za watu na hutaki kuwarudishia ....umewadanganya wabongo