Unakoelekea utatuambia pale Misheni peramiho ndipo yalipokuwa makaomakuu ya Uislamu kusini mwa Tanzania...
Acha ubaguzi na uchochezi mwezi mtukufu huu kaka..
๐๐ช๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ฆ๐ง๐ข๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐๐ ๐๐๐๐๐ฆ๐ ๐๐ก๐๐ฃ๐ข๐ง๐ข๐ฆ๐๐ช๐.
Watawala wa kikoloni na taasisi za Kikristo walifanya kila jitihada kufuta ukweli wa vita hivi kwa sababu mbili kuu:
1. Kuficha ushahidi wa ukandamizaji na uuaji wao.
__Wajerumani walitaka Historia ioneshe kuwa wao walikuwa waungwana, wakati ukweli ni kwamba walitumia mabavu na ukatili mkubwa dhidi ya Waislamu wa kusini.
2. Kudhoofisha ujasiri wa Waislamu.
___Kwa kufuta historia halisi, walitaka kuhakikisha kuwa kizazi cha Kiislamu hakijitambui na hakina ujasiri wa kupigania haki zao.
@officialshakuu Huyo kijana nashindwa tumia neno mwanaume maana hajafikia level hiyo mwambie ni mpumbavu na aache upumbavu....
Ikibidi mwambie na yeye aache wanae akafir** kama anapata tabu kufanya maamuzi.
@Pollo_Dr@HildaNewton21 Hilo kundi unalosema la Jpm litatafuta platform nje ya sisiemu na siyo platform kulitafuta. Ni suala la muda tu. Na amini kuwa wao wanajua wapi penye jukwaa sahihi dhidi ya watesi wao.
We jamaa kiazi kweli.....
Jeshi letu limefight mission nyingi likiwa kama kiongozi wa mission hizo nakushinda kibabe......achilia mbali hii ya SAMIDRC ambayo inaongozwa na S.Afrika na sisi tukiwa washirika tu....
Msandawana ana jambo behind the scene shenzzy
@HKigwangalla Kati ya watu ama kikundi cha watu wasiotamani kuona TUNDU LISU akishika nafasi ya uenyekiti wa Chama basi ni hawa sisiemu. Na wanazo sababu zao zakuwish hivyo
@EssauAbrah87558@TunduALissu Hekima for what....ili kulinda nini au kutetea nini? Hao wenye Hekima wamefanya nini katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini?...