@MarekaMalili Huku kunamzee wanasema alikuwa anafuga Mamba, basi mkizinguana, Hatakama hunatabia ya kwenda ziwani sikuhiyo utajisikia kwenda, ukienda tu kimekulamba lakini wanasema kuna muda hatakama umeenda kuoga bafuni unakutana na Mamba na anakutafuna.๐ ๐
@fintanjr_ Huwa naangalia viwanja vyao hata league za chini nabaki kusema mbona kama sisi haya maisha tunaishi sio kwamba wao walisha yaishi miaka ya nyuma bali hawajawahi kabisa ๐ ๐