Trusted in Securities Trading & Investment Advisory
ποΈDSE Member |ποΈLicensed by CMSA
π€Tailored Services for Individuals & Corporate
π 0733701514/0750017350
π’ Tunafurahi kukujulisha kuwa sasa unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba yetu mpya:
π +255 750 017 350
Bila kusahau namba yetu ya awali:
π +255 733 701 514
Tupo tayari kukusikiliza, kukushauri, na kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha na uwekezaji.
π 06th Floor, Peninsular Noble Center, Oysterbay, Dar es Salaam
π https://t.co/wiA25i1WSM
Wasiliana nasi leo na ujifunze jinsi ya kupanga kesho yako kwa uhakika.
#WekezaKatikaKeshoYakoNaExodusAdvisory
π¨ TANGAZO LA MNADA WA HATI FUNGANI π¨
π° Hati Fungani ya Serikali ya Miaka 25
π Riba ya 13.25% kwa Mwaka
β Haina Kodi (Tax Free)
β Kiwango cha Chini cha Uwekezaji: TZS 1,000,000
Wekeza leo na ujenge kesho yako kupitia uwekezaji salama unaoungwa mkono na Serikali ya Tanzania.
π +255 733 701 514
π +255 750 017 350
π Exodus Advisory Services Ltd
Ghorofa ya 6, Peninsula Noble Centre, Oysterbay
π‘ Je, unajua Hatifungani ni nini?
Jifunze jinsi hatifungani zinavyofanya kazi, faida zake, na kwa nini ni chaguo maarufu kwa wawekezaji wengi.
πΊ Tazama video kamili kwenye YouTube: EXODUS ADVISORY
π +255 733 701 514
π https://t.co/3MhLAaTIk5
π° Gawio (Dividend) huanzia kwenye faida ya kampuni!
π’ Kampuni inapopata faida, Bodi hupendekeza gawio na wanahisa huidhinisha kabla ya kulipwa.
π Hii ndiyo maana uwekezaji wa hisa hukupa nafasi ya kuwa mmiliki wa biashara, si mtumiaji tu.
π₯ Full video ipo YouTube: EXODUS ADVISORY
π Jifunze jinsi ya kunufaika na soko la hisa na kujenga utajiri wa muda mrefu.
π +255 733 701 514
π https://t.co/ZChnX0yuDL
#wekezakatikakeshoyakonaexodusadvisory
π Kabla ya kusema "hisa ni kamari", jifunze kwanza jinsi soko la hisa linavyofanya kazi.
π₯ Tazama video hii upate uelewa sahihi kuhusu uwekezaji kwenye hisa.
FULL VIDEO IPO YOUTUBE - EXODUS ADVISORY
π +255 733 701 514
π https://t.co/3MhLAaTIk5
Je, umejipanga kunufaika na mapato ya gawio? Usisubiri hadi tarehe za book closure zipite. Wekeza mapema ili ujumuishwe kwenye orodha ya wanahisa watakaolipwa gawio na uanze kuvuna matunda ya uwekezaji wako.
β Chagua kampuni yenye malengo yanayolingana na mpango wako wa kifedha
β Pata ushauri wa kitaalamu kabla ya kuwekeza
β Jenga chanzo cha mapato ya muda mrefu kupitia uwekezaji sahihi
πΌ Wekeza leo, uvune kesho.
π Wasiliana nasi:
βοΈ +255 733 701 514
βοΈ +255 742 701 514
π https://t.co/BujQMYnR7o
#WekezaKatikaKeshoYakoNaExodusAdvisory
π°Fanya Pesa Yako Ikue kwa Usalama! πΉπΏ
π Wekeza kwenye Hatifungani ya Serikali ya Miaka 10 yenye riba ya 10.05%.
β Tax Free
β Kuanzia TZS 1,000,000 tu
β Mapato ya uhakika mara mbili kwa mwaka
Mnada unakuja hivi karibuni usikose nafasi hii!
π +255 733 701 514
#wekezakatikakeshoyakonaexodusadvisory
π΅ Pesa iliyolala inapoteza nguvu kila mwaka kutokana na inflation.
π Pesa iliyowekezwa ina nafasi ya kukua na kukulinda dhidi ya gharama zinazoongezeka.
β³ Usisubiri mpaka maisha yawe ghali zaidi anza kuwekeza leo.
π² +255 733 701 514
#wekezakatikakeshoyakonaexodusadvisory
π¨ UPCOMING AUCTION π¨
π° 11% Government Bond
π Miaka 20 ya uwekezaji salama
π Passive income kila baada ya miezi 6
π Tax Free
π΅ Minimum TZS 1,000,000
π Wasiliana nasi leo uanze kujenga future yako ya kifedha. πΌ
#WekezaKatikaKeshoYakoNaExodusAdbisory
NMB inaendelea kuonyesha nguvu ya ukuaji. Gawio la 2025 limefikia TSh 610.15 kwa kila hisa.
Huu ni muda sahihi wa kuwekeza na kuwa sehemu ya mafanikio.
π² +255 733 701 514
π Peninsula Noble Center Masaki
#wekezakatikakeshoyakonaexodusadvisory
TPCC inaendelea kuonyesha uthabiti wa biashara kupitia utoaji wa gawio kwa miaka mfululizo. Huu ni wakati sahihi kwa wawekezaji wanaotafuta kampuni yenye historia ya matokeo na thamani ya muda mrefu. Wekeza leo ujenge kesho yako ya kifedha.
#WekezaKatikaKeshoYakoNaExodusAdvisory
Maswali ambayo watu wengi huuliza kuhusu bond na hisa⦠je, nawe umewahi kujiuliza haya?
Je, ungependa tukujibu swali gani lingine?
#WekezaKatikaKeshoYakoNaExodusAdvisory