Tukio la Kuingia na Jeneza, Msalaba, na mavazi ya kiongozi wa Imani kwenye sherehe za Simba Day ni mzaha uliopita kiwango. Litakuwa jambo la busara kama Klabu ya Simba itaomba radhi hadharani kwa mashabiki na watu waliochukizwa na Mzaha ule. Mungu Wetu Hadhihakiwi.