Naomba kuelimishwa imekaaje AFANDE JWTZ kumpigia saluti DC ambaye si AFANDE wala Kiongozi wa Chombo cha ulinzi, nilifahamu Polisi tu analazimika kumpigia SALUTI Mbunge tu, sasa hili la DC Magoti kwangu jipya naomba kujua ni sahihi. Na Je Wakuu wa Vikosi wanawapigia MADC na MARC.?
@INFLUENCERjr@millardayo Zama za siasa za kizalendo zimepita...zama za kufanya kazi kuwa wito zimepita....zama hizi ni za kuchumia tumbo tu! Hakuna mtawala wala mpinzini!