Sasa unaweza kupendeza kwa kuvaa uzi bora na halisi (origianal) kabisa wa klabu ya @officiallipulifc kutoka miamba wa uuzaji wa mavazi ya kijanja nchini hapa nawazungumzia @vunjabei kwa shilingi elfu 10 tu.
Uongozi wa Klabu ya Lipuli umepokea kwa mstuko taarifa ya kifo cha aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Soka Mkoa wa Iringa (IRFA) Ally Ngala kilichokea hapo jana ktk Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Uongozi unatoa pole kwa wote walioguswa na msiba huo. #RIPNgala