@RwesaAntipas @gudume_ @JKISHOA Ni kweli amekosa hakuna shule yoyote inayoruhusu mamb ya vyama shule mm mwenyewe ni mwalimu angekuwa shuleni kwangu angefukuzwa tu haijalishi ni ccm au chadema au chama chochote kile acheni kulaumu pasipo kuwa na ufahamu