Siku za nyuma shemeji yenu alinambia Kuna mtu anaenda Kuonana nae amuunganishe kazi
Aliporudi majibu hayakuwa mazuri kwamba jamaa kaanza kumtongoza tena ..tumekaa kama week mbili ananiambia amepokelewa kazini maana ake niendelee kuuliza kama alimkatalia yule kwamba au ndo kaliwa