Hii naongea na graduates ambao sio wakishua,master's sio elimu ya lazima au yakusomeshwa kwa wazazi kujitesa ebu wapumzisheni. Komaa na degree yako ikupe ada ya master's, hii sio elimu ya kusoma kwa stress na sio ya lazima pia kwa soko la ajira sahivi bongo experience ndo mchawi.
As I'm turning 27 today, haya ndiyo niliyoyapitia tokea tarehe 23.10.2022 mpaka leo, lakini mimi ni nani nisiseme "ASANTE MUNGU" kwa kunipa uzima mpaka Leo..
NB: PICHA ZINATISHA KIDOGO.
Ni hivi, usiku baada ya derby ya Simba v/ Yanga nilikua narudi nyumbani, kufika maeneo ya 👇🏿
@AbraHJerome Kaka imagine Tabora ina Area 76,151 km2 na Dar ina area 1,590km2 kwa Difference hii unahisi watu wa Tabora wakitaka kutoka northern Part to southern Part inakuaje.?
@AbraHJerome Haha Mbona ndogo mzee 😅 na ikona flexible pavement mikoani mtu anapiga 70+ ni gravel tu anapiga shimo kuconnect north na south ya wilaya tu sio hata mkoa.