Swearing at work is a no-go! Sure, you can let loose at home or in the car, but in the office, keep it professional. Skip the swearing and make life easier for everyone. #WorkEtiquette#Professionalism#OfficeRules
π‘ Siri ya uwekezaji sio kuwa na pesa nyingiβ¦ ni kuanza mapema.
Hata uwekezaji mdogo ukifanywa kwa nidhamu unaweza kubadilika kuwa mtaji mkubwa miaka ijayo. π
Jenga asset zitakazolipa hata ukiwa umepumzika. π₯
#Uwekezaji#Hisa#DSE#FinancialLiteracy#Tanzania

Siku nikikarabati kijiwe changu hapo nyuma.Ndio ntajiita mamalishe π π
Lkn kwa sasa niacheni niwe mamantilie
Wadogo zangu karibuni kuniunga fanyeni km mnafanya reseach ya watu wenye kipato cha papatu papatu tunakulaje π π€eeh Matajiri..pitieni mchukue experienceπ πββοΈ