-Kuna Kijana Muuza Duka Ametiuzia Unga.
-Kijana Muuza Genge ametuuzia Viungo
- Dada anaitwa @evemuheto ametuuzia Spieces
-Kuna Mama Muuza Mbogamboga Naye
-Kuna Kijana pale Ferry katuuzia Pweza
Ukinunua Sahani hii ya chakula TZS10,000 unakuwa umegusa maisha ya wengi
-0769618388
Home of the Finest Pweza Makange โ Since 2016
Signature Portion โ 20,000/-
Carefully prepared and served with:
โข Tender Pweza
โข Calamari
โข Hand-selected Fresh Vegetables
๐ Served with Vegetable Rice
๐ Call / WhatsApp: 0769 618 388
๐ Dar es Salaam, Tanzania
๐ Delivery
Thereโs a restaurant at old town called Forodhani. It has great views and good Swahili foodโฆ
Itโs family and mverified friendly as well. I highly recommend.
Parking is tricky if you want to drive to; Iโd say take a tuk tuk to Fort Jesus and walk (about 3-5min) to Forodhani.
Hakikisha unapata walau bakuli 3 za supu ya pweza kwa wiki.
โณ Ukichemsha samaki nakumnywa supu, Utapata faida nyingi mwilini, ร3 ya samaki wa kukaangwa.
โณ Madini, ya zinc hupatikana kwakiwango kikubwa sana kwa samaki mchemsho, hasa ile supu ya samaki wa maji chumvi.
โณ Supu ya pweza, ngisi na kamba, Hubadilisha maisha ya wanaume wengi.
โณ Mwanaume hutegemea Homoni ya Testosteroni ili kuwa imara.
โณ Homoni ya Testosteroni hutegemea madini ya zinc ili zizalishwe nyingi mwilini.
NB: Imarisha afya yako, Epuka magonjwa, imara Kinga za mwili wako...Usijisahau.
MAMBO MANNE YA KUSHANGAZA NA USIYOYAJUA.
Uzi๐งต
Pweza wana mioyo mitatu
Mioyo miwili inasambaza damu kwenye matamvua, na moja inasambaza damu kwenye mwili wote. Wanapoogelea, moyo unaosambaza damu mwilini husimama kupiga.
@MalemboLE Sasa kwenye mchuzi wa pweza pale ferry ndio kuna maajabu zaidi. Nafikiri wanaosoma shahada za afya ya jamii wafanye utafiti kuelewa kwa nini mambo ya namna hii yanafanyika.