Ujumbe kwa @Sativa255,,, we jamaa betting ndio inakuokoa......Mimi sio mwanasiasa/harakati,, ila kuwa makini na punguza mihemko ya tungi otherwise watakudinya na mwisho kukudedisha....shauri yako!!
Manara anajifanya anaelekea Zanzibar kuishabikia Rs Berkane kumbe anaenda kuiangalia timu yake ya toka udogoni ikichukua kombe la shirikisho pale Amani Stadium.
@Sativa255 tatizo mpo mafichoni alafu mnajiita wana harakati wa haki stupid,,, watu wanaendelea kuumia alafu nyie mpo magetoni mnasifia.....kuanzia ww, Maria na roma wote ni wasenge na waoga tu,,, fala nyie,,,G55 wapo sahihi sana ukifikiria vizuri