We all come from humble beginnings and need to trust in Godโs wisdom as we strive to provide for our families or plan to start one. Ecclesiastes 3:1 says, โTo everything there is a season and a time for every matter under heaven.โ Our efforts will yield positive results in time
Being a man means giving your family unforgettable experiences & showing them theyโre valued. By providing ur creating an empire & laying down a strong foundation. Teach ur kids to thrive with the right tools & show your sons that strength & protection are what the world demands
@IAMartin_ Kwenye Dunia ya kusema hovyo Huwezi kumchagulia mtu cha kusema . Ww chagua watu wako watakao kusikiliza na si sawa kumpangia mtu Kitu cha kusikiliza kusoma au kushabikia . Ndio maana kuna neno wafuasi kwenye mitandao. Jitahidi kuuza bidhaa yako vyema
@hamzaalbhanj Nafsi inafurahi sana kama watoto wetu tutawaona kWa macho yetu wakiwa na furaha juu ya jasho letu ,Ila muhimu tuwape silaha za kฤฑsasa za kupambana na maisha ya sasa
Wengi tumezaliwa familia maskini. Wakati huu na umri huu tunapaswa kujua hela tunazotafuta ni kwaajili ya kubadilisha Hali za watoto wetu . Wakati wetu ukipata hela ya ziada Fanya kuishi . Ukwasi utakua kwa watoto wetu Kama tutawaachia formula .
After all the riches in the world, there's nothing more valuable than a loving wife. Money may have its worth, but a devoted partner is priceless in this life and the next.
Make money ๐ฐ Spoil your wife ๐ โค๏ธ
Tumia kinywa chako kunena mema juu yako na kizazi chako tarajiwa na ulichonacho. Mungu kampa kila mtu funguo ya mambo mema ila baraka zinafichwa na kujinenea ubaya na kukata tamaa .Unavyoamini Sio lazima unene kwa sauti ya juu Sema kwa sauti ya ndani kwamba naweza.Mungu anasikia
Siku moja ni miaka 1000 kwa Mungu .Achana na mipango ya mwaka 2023 jitahidi kua mwema kila siku ,heshimu mipaka ya watu na maisha yao,kua muaminifu na jasho la mtu mwingine . Michongo inafunguka mara moja haihitaji mwaka mpya . Pesa ziko mikononi kwa watu.
Zimesalia siku 4 kuelekea tukio letu #SwahiliGooners na wadau wote wa mpira karibuni Jumamosi hii tarehe 01/10/2022 kushiriki Charity yetu
Namb yetu ya kuchangia ni LIPA NAMBA YA TIGO (5425121)
#NiYetuSote#BeAGoonerBeAGiver#SwahiliGooners
Unachoweza kumrithisha mtoto wako ni ufalme au umalikia .Tengeneza ufalme wako na ujaze baraka zenye jasho lako na Hakika hata ukiondoka utaishi. SOMA TENA