Kama kusimama na ndugu zetu wamaasai ni kutokupenda nchi - so be it
Ila tunajua ambaye yuko tayari kuumiza ndugu zake ili achukue ardhi awape โwawekezajiโ waue wanyama na wajenge mahoteli yanayoharibu mazingira ndiye hapendi nchi na wananchi bali pesa tu!
#IStandWithTheMaasai
@HUSSEIN26139294 @FMtokonyo @petersonchris_@igy_bm23 Kuna jumong, gwanggaeto, six flying dragon, bridar mask, hiden roots, dong yi, shine or go crazy. Hizo movie zitengwe
@SuluhuSamia@MohamedBinZayed Sio tu wafanyakazi mama kuna ata sisi wanafunzi wavyuo maisha magumu tuongezewe boom itasaidiana sana maan nasi uku vitu vinapanda bei