Mwanasheria wa Kampuni ya Dangote Mkoani Mtwara, Clara Koshuma kwa niaba ya Uongozi wa Kiwanda cha Dangote ameomba radhi kwa kusitisha uzalishaji tangu October 24, 2020 ili kupisha matengenezo ya mitambo bila kutoa taarifa ya usitishaji wa uzalishaji.
Leo Novemba 10, 2020, Bunge la 12 limefunguliwa rasmi. Ambapo, mbali na ufunguzi, shughuli nyingine ni kuthibitisha uteuzi wa Waziri Mkuu, Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika na kiapo cha uaminifu kwa wabunge wote.
#PICHA Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @MagufuliJP leo Novemba 1, 2020, alivyokabidhiwa cheti cha ushindi wa nafasi hiyo na Mwenyekiti wa @TumeUchaguziTZ Jaji mstaafu Semistocles Kaijage.
“Mimi nimekuwa katika vyama vya upinzani na nimeshiriki kuanzisha chama cha @ACTwazalendo
hata ukienda kwa msajili pale jina namba Saba ni langu. Nimeshiriki kufanya ‘reformation’ ya CHADEMA wakati tunafanya hivyo tulikubali kupinga kufanya madudu na kusinzia kwa CCM” @mchange15
“Katika kinyang'anyiro chochote lazima mshindi apatikane na sisi kama vyama vya upinzani tumekubaliana na hilo, tunaomba tukaijenge Tanzania." - Queen Sendiga, aliyekuwa mgombea Uraisi ADC
SAMIA APOKEA CHETI CHA USHINDI
Makamu wa Rais @SuluhuSamia akipokea Cheti cha Ushindi wa Kiti cha Makamu wa Rais kutoka kwa M/kiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutangazwa mshindi kwa Kiti cha
Nachukua nafasi hii kumpongera Rais @MagufuliJP, Makamu wa Rais @SuluhuSamia na wanachama wa @ccm_tanzania kwa kupata ushindi wa kishindo na hii imetokana na ytendaji uliotukuka, Sasa uchaguzi umeisha tukafanya kazi kwa Kasi zaidi kwa maendeleo ya Nchi yetu. Mungu awasaidie.
"Katika kinyang'anyiro chochote lazima mshindi apatikane na sisi kama vyama vya upinzani tumekubaliana na hilo, tunaomba tukaijenge Tanzania"- Queen Sendiga aliyekuwa mgombea Urais ADC
#MagufuliKukabidhiwaCheti
"Katika kinyang'anyiro chochote lazima mshindi apatikane na sisi kama vyama vya upinzani tumekubaliana na hilo, tunaomba tukaijenge Tanzania"- Queen Sendiga aliyekuwa mgombea Urais ADC
JPM : MMETUPA USHINDI MKUBWA SANA
"Kwa hakika mmetupa ushindi mkubwa sana uliotuachia deni kubwa sana, nakiri nina deni kubwa Kwa Watanzania" - Rais @MagufuliJP#TanzaniaNaMagufuli
📸 Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka #CCM Dkt.@MagufuliJP akitoa Shukurani mara baada ya kukabidhiwa Cheti cha Ushindi wa Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi(NEC) zililopo Njedengwa jijini Dodoma.
#AsanteniTanzania#UshindiWaKishindo#UchaguziMkuu2020
Kuna watu wameapa na kuahidi kuilinda tanzania paka kufa.
Na kesho wanafanya usafi katika maeneo mbalimbali. Sasa kawachokoze na maandamano utopolo yako.
“Onyo kwa Mbowe , Zitto na Lissu kwamba mimi siwezi kuandamana kwasababu Lissu kakosa urais nitaandamana endapo nitakosa huduma bora na za msingi katika Maisha yangu. @MagufuliJP katuletea huduma za msingi siku hizi hamsikii hata hadithi za huduma mbovu za afya” @mchange15