@NuriSood18986@BracuszCadabra Kwahyo ahly akisema ajitoe kombe la shirikisho n sahih akisema haoni faida yake?. We unaamin kweli kombe la shirikisho halina faida yyte kwake?kujua unachfnya haimaanish hukosei. Kwnza ACA bdo mbchi zpo timu kubwa ztaingia tu tena kwa wakubwa walopata saiv bdo wanafaida
@NuriSood18986@BracuszCadabra Yan unajaza maneno mengi bila hoja ya msingi. Kwa nn ukazie kusema vichwa vingi havijajiunga na mm nmesema kutojiunga sio kosa ila nimekosoa alosema hajiungi sabab haoni faida ya ACA na akati faida zipo.
@NuriSood18986@BracuszCadabra Sasa usiwasemee, sabab ya kusema hawaoni faida hio ni yenu makolo tu na akili zenu. Unarudi mulemule klabu yyte kutojiunga sio kosa ila tupe sabab za msingi sio kusema hmna faida while zpo.Ukisema tu mbna ahly hajajiunga ntakwambia mbna Mamelodi kajiunga, mbna wydad na petro wamo
@NuriSood18986@BracuszCadabra Nmekwambia sehem ambyo ahly wamesema hawajiungi sabab hawaoni faida na sio taarifa ya AI yenye link ya taarifa za micky. Kwanza hio taarifa ynywe inaonesha ahly hawajiung sabab timu zngne kubwa pia zimesusia kitu ambcho sio sabab ya ukwel na hawajawah sema hvo pia.
@NuriSood18986@BracuszCadabra Tuone sehem ahly walosema hawajiungi ACA sabab hawaon faida yak maana kwnye uundwaj wake walishirik na mwakilish wao alikua mjumbe wa bodi.1 ya faida n pesa zlizoongezwa hatua za awali CAF ilikua n hoja kutoka ACA nyie mtasemaj hamn faida yyte.Hoja ya kutoona faida n ya kikolo tu
@NuriSood18986@BracuszCadabra Ahly kutokuepo co kosa na wala sijasema tmu ambyo haitokuepo n wajinga maana timu zpo nyng sana.Nlichokosoa n mtu kusema haoni faida na timu zinafaidika vipi.Ahly hawapo lakin sidhan kama sabab yao itakua hio ya kikolo.Ndo mana nasema bora angetoa mapunguf ila sio sabab alzosema
@ismailhkaranda@BracuszCadabra Yan uwanja kuhamishwa baada ya agents wa CAF kujiridhisha tangu robo fainal kua n mbovu mnataka kuilaum ACA ambayo hampo.Kupata makao makuu morocco n wajumbe walipga kura na kuchagua Morocco sabab imewekeza sana kisoka.Point zko dhaifu zinaigusa Morocco sabab hamjapona ya berkane
🚨💣 BREAKING: Éderson to Manchester United, here we go!
Deal done with Atalanta for €45m package with add-ons included, agreement now in place.
Medical and formal steps to follow but deal in place.
Éderson will sign a four year deal plus option, as @TheAthleticFC reports.
@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Kamwe likijaga jambo la kupangilia hoja uje vizuri maana anapigaga kichwani tu😂. Ka meena kanacheka huku kanatetemeka eti ndo nilivyo. Makolo wamekupongeza kuwatangza unategemea nn kwa yanga. kubali tu matokeo ya kujiingiza kwnye siasa za yanga na simba usijitetee kwa jinsia