"Mnamo mwaka 2001.September.11, kikundi cha waasi wa Al-Qaeda kikiongozwa na "Osama Bin laden" kilifanikiwa kuteka ndege za abiria 4, ambazo safari zake zilikuwa ni kati ya New England na California. Watekaji waliangusha ndege mbili katikati ya majengo pacha "World trade center,
Mwenyekiti wa Mati Group of Companies Ltd, David Mulokozi (@davidmulokozi ) amechangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Jimbo Katoliki la Mbulu, kiasi ambacho kinajumuisha michango ya Kampuni ya Mati Super Brands Ltd (@matisuperbrandsltd ) na familia yake.
Akizungumza katika harambee hiyo iliyofanyika katika Dekania ya Babati kama sehemu ya maandalizi ya Maadhimisho ya miaka 75 ya Jimbo hilo, Mulokozi amesema ametoa mchango huo kama njia ya kumshukuru Mungu na amewahimiza wengine kuchangia maendeleo ya nyumba za ibada kulingana na uwezo wao.
Dekano wa Babati, Reginald Kimati amesema fedha zilizokusanywa pamoja na ahadi za michango zimevuka lengo la shilingi milioni 200 lililowekwa kwa dekania hiyo ambayo ililenga kukusanya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya miradi inayohusisha ujenzi wa hosteli, ukumbi na jukwaa la kudumu la Maadhimisho ya Kijimbo.
Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbulu, Mhashamu Anthony Lagwen amempongeza Mulokozi kwa mchango wake na kusisitiza kuwa fedha zitakazokusanywa zitatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.
#MillardAyoUPDATES
This is Pauline Lumumba, the woman who watched them kill her husband and then walked half-naked in protest. You may not have seen the photo, but it shows a Congolese woman, bare-chested, with her hair shaved, walking in the street crying, with a child tied on her back. That woman is Pauline Opangu Lumumba, the wife of Patrice Lumumba, in 1961.
Patrice was only 35 years old and had been Prime Minister of Congo for just 67 days. His crime was that he declared, "Congo is not Belgium's property. Our gold, our copper, and our diamonds will feed our children." Because of those words, Belgium, America, and his own army chief, Mobutu, decided that he must die. On January 17, 1961, they took Patrice, together with Maurice Mpolo and Joseph Okito, to Katanga.
Pauline recounts what happened to him in harrowing detail. She said they beat him for hours, pulled out his teeth, and forced him to eat his own speech papers. Then a Belgian officer, Gerard Soete, shot him. After that, they cut his body into pieces with a saw and poured acid over it to dissolve him, so that no grave would ever exist. There was no body, no grave, only acid.
When they told Pauline, she did not scream. In Congolese tradition, she shaved her hair to mourn her husband. She removed her top to show the world, "You have stripped me of my husband. I have nothing left." Then she walked barefoot from Leopoldville to the place where they killed him, a journey of 1,000 km, with her baby on her back, singing his name all the way.
Mobutu, who took part in killing her husband, went on to become President for 32 years with US support. Belgium kept Lumumba's gold tooth as a souvenir in a police station until 2020. Patrice Lumumba died because he wanted a united Africa, like Gaddafi. Pauline died in 2014, still waiting for his body to be buried, and she never remarried. That is the price of saying, "Africa for Africans." And you still think Africa's poverty is because we are lazy?
โWaheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia mโrekodi proceedings kama mlivyoโrekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuningโinia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, itโs an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi viโsababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Viโsababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtaniโhukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.โ
Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
Selena Gomez had Justin Bieber at his best, when he was just discovering love, but Hailey had him at his worst, when heโd already been through heartbreak and depression. He does love her, but heโs not 15 anymore, heโs 30.๐๐ญ
๐๐จ๐ซ๐ ๐๐๐ญ๐๐ข๐ฅ๐ฌ ๐จ๐ง ๐๐ข๐ฆ๐๐ ๐๐โ๐ฌ ๐ฉ๐ฅ๐๐ง๐ง๐๐ ๐ญ๐ซ๐ข๐ฉ ๐ญ๐จ ๐๐๐ง๐ฒ๐. ๐จ๐น๐ฟ๐ฐ๐ช
Simba SC are expected to face Kenyan giants Gor Mahia in the ๐๐๐ข๐ฅ๐ ๐๐๐ข๐ง๐ ๐ ๐๐ฎ๐ฉ, organised to mark one year since the passing of former Kenyan Prime Minister Raila Odinga.
The proposed date for the match is ๐๐จ๐ฏ๐๐ฆ๐๐๐ซ ๐๐.
More details to follow.
#NguvuMoja #Sirkal #AfricanFootball
๐ฆ๐ท Lionel Messi holds the record for the most Man of the Match awards in World Cup and Copa America!
๐ World Cup: 16 MOTM awards
๐ Copa America: 15 MOTM awards
GOAT! ๐