Furia Consulting,lean startup firm founded 6 October 2017.Offers professional services locally and internationally:Project Management,M&E,IT Security-Governance
Hivi dabi ya @SimbaSCTanzania na @Yanga1935 ni lini?
Kama itakukuta Dodoma usihofu.
Mechi itakuwa mubashara Goldarispa Homes.
Tupo Dodoma Chidachi.
Mawasiliano:
Simu: 0764 63 40 77
Instagram: @goldarispa_homes
Barua pepe: [email protected]
Our Trainings Resume Soon!
Furia Consulting Ltd. is excited to relaunch our top-notch training programs in Project Management and Risk Management. Whether you're looking to enhance your skills or empower your organization, we’ve got you covered!
Stay Tuned for Further Details!
Huu ni mwongozo wa lishe bora ulioandaliwa na wizara ya afya.
Unatoa mapendekezo kadhaa yakiwemo;
•aina ya vyakula
•aina za mafuta ya kutumia
•jinsi ya kuandaa vyakula
Lishe ni kipengele muhimu kwenye mtindo bora wa maisha.
Mafuta ya kupikia yanayoganda katika joto la kawaida (room temperature) yanaongeza kiasi kikubwa cha cholesterol mbaya mwilini.
Cholesterol mbaya mwilini husababisha magonjwa mbali mbali mwilini ikiwa ni pamoja na shinikizo la damu na magonjwa ya moyo.
Familia yangu inatuasa tuzingatie unyonyeshaji mtoto mchanga bila kumpa chakula kingine kwa miezi sita ya mwanzo.
Familia yangu ilifaidika kwa kuzingatia maelekezo haya, na mtoto wetu
alikingwa na matatizo ya mzio (allergy) na alipata kinga kutoka kwa mama.
#ElimikaWikiendi
Kongamano la kwanza la afya na ustawi wa watoto.
Litafanyika Dodoma; Oktoba 11-14
Wadau wa afya na ustawi wa watoto wanaalikwa kushiriki
Afya, elimu, ustawi wa jamii, sheria, ulinzi na usalama wa watoto, lishe na chakula, michezo na habari…
Watoto ni Taifa la leo & kesho
@Positivenga1 Watasoma, muhimu ni initial orientation. Kuna Mmarekani mmoja niliongea nae straight akaniambia Andela. Nazani ni fursa kwa watanzania kutengenezewa platform ya aina hii. Cha muhimu ni kuhakikisha walengwa wanafanikiwa na sio kutumiwa tu.
@IsayaYunge Kuhusiana na mada hii hii. Kuna mtu mmoja aliuliza kwanini Startups za Tanzania hazifanyi vizuri kiasi cha kupata pre-seed na nyingine kama zilivyo za Kenya na nchi zingine? Pia nimejiuliza maswali mengi majibu sina. Je ni athari za ujamaa ama? Yahitajika maarifa zaidi nje ya box