Binafsi kama mchambuzi msomi naamini GERSON FRAGA alikua bora sana eneo la kati 6 kuliko DR KHALD AUCHO
Fraga alikua ana ku offer vingi hasa kufunga magoli kitu ambacho aucho hana
Hivyo ni upotoshaji endapo ukisema 6 bora ya kigeni ni AUCHO
Hivi kwa tz kama nchi, idadi halisi ya watu walioko kwenye ajira rasmi wanalipwa mshahara na kila mwezi wanakatwa kodo, wanaweza kuwa wangp? 1m, 2m, 5m, 10m au bado tupo kwenye 100k?