@geoffiejeff@HKigwangalla Kwan Kigwangalla Hana njia yakuwasiliana na viongozi kuhoji mpaka aje mtandaoni Amekuwa kama wale Malaya wanajiuza mitandaoni
@HKigwangalla Kigwangalla unazitaka hizo 20bilion za nin? Kigwangalla umesoma ila kwa unachokifanya sasa dhahiri Elimu haikusaidii.... Endelea na Siasa tuachie Mpira wetu.
@HKigwangalla@SimbaSCTanzania@bvrbvra@moodewji@DewjiFoundation Tushakuzoea kwa tweets zako ndugu Kwan Chelsea walimpataje wakwao? Unataka CV Kwan ndio zinafanya kazi? Mama samia hakuwahi kuwa Makamu wa Rais ila saiv anapiga kazi...... Usitoe kasoro sana na kutabir mwachie Gwajima
Katika kupata au kukosa kwako, kunafunzo na fursa ya kufanya makubwa baadae maana ushapata pakurejea mara tu uonapo dalili za kujirudia au zifananazo na tukio la awali
Katika kupata au kukosa kwako, kunafunzo na fursa ya kufanya makubwa baadae maana ushapata pakurejea mara tu uonapo dalili za kujirudia au zifananazo na tukio la awali