July yangu niliimaliza hivyo. Youtube automation kwangu ni maisha. Naishi humo. Ninatarajia kufanya darasa la mwisho sasa baada ya hili sitafanya tena. Darasa litaanza kesho. Nafasi ni chache wahi sasa njoo DM tuyajenge. Njoo ujifunze youtube automation kwa vitendo
Jamaa aliyezidiwa kipato na mke wake kaona tangazo la kunywa maji kwenye TV, akashika bilauri mke akasema tu mnywe maji ila mjue sasa hivi lita saba ni elf tano, ameacha kaenda nje kufungua bomba anywe ya dawasco akaonyeshwa bills ya maji, ameenda kuosha geti kaambiwa tena we hangaika na kuosha geti hayo maji si unanunua wewe, ndo amekaa hapa anasubiria maelekezo mengine yatoke.....
Ukitaka begi la kutosha online haswa YouTube, pambana maudhui yako yafanye vizuri.
1. Canada
2. US
4. Australia
5. Most of the European Countries
7. Latin America
Content iwe solid na upatie Niche.
Based on: Idadi ya Premium Subs & Ads.
AI storytelling prompt👇
“You are an expert scriptwriter specializing in viral storytelling formats used by top faceless YouTube channels.
I will give you a title. Based only on that, write a full 3-act story that matches the tone, pacing, and emotional pull of the most engaging storytime channels on YouTube.
Title: {insert}
Your task:
1.Analyze the title deeply
→ What emotional tension does it carry?
→ What assumptions or questions will the viewer have?
→ What kind of characters and conflicts would create a satisfying arc?
2.Write a complete 3-part narrative
•Act 1: The Hook & Setup
Introduce a compelling character. Set the stakes immediately. Create tension in the first 10 seconds. Make the viewer NEED to know what happens next.
•Act 2: Escalation & Conflict
Show unexpected twists, moral challenges, and emotional turns. Use believable dialogue and relatable stakes. Maintain a natural, conversational pacing.
•Act 3: Twist & Moral
End with a powerful twist, reveal, or lesson. Must trigger emotional resolution (justice, irony, redemption, heartbreak). Leave the viewer thinking.
3.Write the story for voiceover delivery
•Keep the tone natural and emotionally charged
•Vary sentence lengths to control rhythm
•Use internal thoughts, dialogue, and vivid imagery
•Break the script into visual segments for easy editing (scene-based)
4. At the end, give me:
•A compelling thumbnail/title combo based on tension
•The emotional trigger this story activates (e.g., injustice, betrayal, empathy)”
Mimi kila mara nina ugomvi na wife. Sababu ya huo ugomvi ni kwamba kila shutuma ninayopewa huwa "Najitetea na sikubali makosa".
Anataka mfano akiniambia nimemcheat niseme "Ni kweli Mke wangu ila samahani". 😀🏃🏾🏃🏾