@punGenerator254 unamwambia twende keja ndio nmeacha Id unauma na hununui line😂😂
kwanza wanakuanga njaa. kuna mwenye alikula stew nilikua nmeeka kwa fridge bana😂😂
Most men who marry single mothers hawakuangi genuine.They never pretend for long,after umemzalia wake ndio huanza kuona the burden of the kids you came with na ivo ndio ndoa inaanza msukosuko unarudi kwa streets with another babydady.