Mkataba Mpya 25/30
Chama Tawala kupitia uongozi wa Bi mkubwa Samia Suluhu Hassani wameahidi
Ujenzi wa Metro Dodoma na Dar es Salaam hii ni hatua kubwa ya mageuzi ya usafiri
Unachochea uchumi wa vijana na taifa kwa ujumla
#Mkataba25/30
#vijana Tumeuverify
#OKTOBATUNATICK
Mkataba Mpya 25/30
Chama Tawala kupitia uongozi wa Bi mkubwa Samia Suluhu Hassani wameahidi
Ujenzi wa Metro Dodoma na Dar es Salaam hii ni hatua kubwa ya mageuzi ya usafiri
Unachochea uchumi wa vijana na taifa kwa ujumla
#Mkataba25/30
#vijana Tumeuverify
#OKTOBATUNATICK
Tunasababu Nyingi za kumverify Bi Mkubwa,na sababu hizo ndizo zinazopelekea Watanzania kwenda kutick Oktoba ,WATANZANIA OKTOBA TUNATICK NA SIO KUTİCK TU TUNATICK KWA Bİ MKUBWA
Generation samia kikuyu jogging wanawakaribisha watu wote kwenye Bonanza la maadhimisho ya miaka Mitano ya kikuyu jogging litakalofanyika 5/7/2025 Dodoma sec
Miaka 5 ya kikuyu jogging
#Bimkubwatumekuverify
Je unataka kujua Sababu za kumverify Bi Mkubwa ?
Ungana na Generation samia katika mitandao ya kijamii
Facebook;Generation S
Ticktock;generationSamia
X Tweeter; Gen _S255
Thread ;gen_samia
Instagram;Gen Samia
#OKTOBATUNATICK✅
#GEN S
#BiMkubwatumekuverify
Tumelelewa kwa maono ya Mama, na sasa tunasimama kama mashujaa wa kizazi cha vitendo…Tunayo kila sababu ya Kumverify
#GenS#KizaziChaMafanikio#OktobaTunatiki