TANZANIAN...Activist politician freedom fighter -SUMU YA NYIGU.WE WANT FREEDOM OF SPEECH ,WE WANT FREEDOM OF EXPRESSION ,WE WANT FREEDOM OF POLITICAL DEBATE
@Msumari9 Mboooo peke yake hata hilo apple hatolipenda tenaaaaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mtu mmoja amefariki Dunia baada ya treni kuacha njia na kupinduka katika eneo la Chenzhou, China. โbado tunachunguza chanzo cha ajali ila taarifa za awali zinaonesha mvua imesababisha utelezi relini na kufanya treni ihame, Watu 123 wamejeruhiwa, wanne wako mahututiโ
(๐ธ via CGTN)
Mtu mmoja amefariki Dunia baada ya treni kuacha njia na kupinduka katika eneo la Chenzhou, China. โbado tunachunguza chanzo cha ajali ila taarifa za awali zinaonesha mvua imesababisha utelezi relini na kufanya treni ihame, Watu 123 wamejeruhiwa, wanne wako mahututiโ
(๐ธ via CGTN)
serikali ya italia imetoa euro 400M ,
sawa na (euoro 50K kwa kila manispaa)
kwa ajili ya kuhudumia wananchi/familia zisiziojiweza ,
fedha hizo zitagawiwa kama vocha za kununua mahitaji kama kwenye ma supermarket n.k ..
habari wazipendazo kina @Stimellah x @bajabiri
au misimamo ya Chama, bali yuko kwa sababu analazimika kusubiri mafao ya kiinua mgongo tu. Ni ajabu sana mtu wa kiwango cha Komu kutoa kauli inayomuanika na kumweka wazi kuwa ni mtu anayesukumwa na tumbo lake tu.
Ubinafsi wa kiwango cha kutisha katikati ya masuala mazito na muhimu yanayowagusa wananchi anaopaswa kuwawakilisha na kuwa msemaji wao.
Chama kitatoa taarifa kwa umma juu ya suala hili baada ya vikao kukaa. Asante.
Tumaini Makene.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Iwapo Komu kaamua kutangaza kuwa yupo @Chadematz kwa sababu ya kusubiri mafao ya Ubunge na posho za Bunge la Bajeti, kwa sababu amesema kuwa atajiondoa kwenye Chama baada tu ya ubunge wake kumalizika, maana yake ni kwamba, hayupo kwenye Chama kwa sababu ya itikadi, imani, falsafa
Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge anasema tena wa ccm ina maana yamemfika shingoni... vyombo vya habari tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu... kuna watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu...
Serikali ya Kenya imechukua hatua ya kugawa Sanitizers bure kwa wananchi wake wote... hii ni mbali na hatua za kiuchumi zilizotangazwa na Rais Uhuru juzi. Hongera sana Kenya kwa kujali watu wenu, hakuna kitu cha kulinganisha na afya na uhai wa watu.
Nimejulishwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Sekta Binafsi na Kampuni ya Katani LTD Mzee Salum Shamte anaumwa sana na kulazwa ICU alipoletwa kutoka Gereza la Maweni, Tanga. Namwomba Mola amsaidie avuke mtihani huu wa maradhi na na ule wa Kesi aliyobambikiwa na Utawala wa kikatili.