@HildaNewton21 Kwan si tumekubaliana tunataka uhuru wa kuongea kaen kimya watu waongeee kwan wanasema uongo kwan hawa si kama chadema wana haha na uchaguzi usio wahusu
@MariaSTsehai Lugha berries iandikwe kiswahili ili tuelewane sii ni wa bongo lugha yetu ya bb ni kiswahili kwann itumike hii ya meli au wanaambiwa wale wa kuitwa malaya
@MariaSTsehai Lugha berries iandikwe kiswahili ili tuelewane sii ni wa bongo lugha yetu ya bb ni kiswahili kwann itumike hii ya meli au wanaambiwa wale wa kuitwa malaya
@godbless_lema Labda mm sielew naomba kusaidiwa haya yaliyofanyika tz ni maandamano au funjo?
Maana nmeona maandamano ya madagaska,kenya na china miaka kadhaa nyuma lakin sikushuhudia uhalibifu huu ulofanya na waandamanaji wa tz.