Zingatia:
Zingatia kazi zako muhimu zaidi jambo la kwanza asubuhi, au uyashughulikie wakati una nguvu nyingi zaidi.
Epuka kufanya kazi nyingi:
Zingatia kazi moja baada ya nyingine ili kuboresha ufanisi na usahihi.
Kizuizi cha muda:
Panga muda maalum wa kazi ili kuunda umakini na kupanga siku yako.
Tumia sheria ya dakika mbili:
Ikiwa kazi inachukua chini ya dakika mbili, ifanye mara moja ili kufuta orodha yako ya mambo ya kufanya.
Kuna wakati hua unafanya mambo yako vizuri bila msaada wa mtu yoyote wa pembeni,
Hakikisha unakua mtu wa kwanza kujipongeza kwa namna yoyote ile.
________
#Msafi#The_HR
________
Wengine tumetoka kwenye familia ambazo Mama alilazimika kuongeza maji kwenye mboga ili itoshe;Tunapambana kuondoa hali duni nyumbani na sio kushindana.
____________
#Msafi#Hr
____________
@UsalamaWaTaifa Huelew kua hao wafanyakaz wanafamilia ya kulea nyumbn????au hujui shule zimefungwa na watoto wako nyumbn majukum yameongezeka,,,,kabla hujaongea kitu fikiria pande zote kwanza,,,msiyuuuuu!