7️⃣ Shape Your Mindset
The real game is mental:
⏳ 90% waiting, 10% execution
🛠️ Your system = your weapon
🧠 Probabilities > emotions
📓 Journaling = sharpening the edge
Mindset is your greatest trading tool.
@cr_xniper Sikuwa online muda mrefu nimekuta notification s ,aisee pole sana kaka kwa msiba huo mkubwa ,mungu akutie nguvu ww pamoja na Familia kwa ujumla 🙏
FX trader anapoingia kwenye trade anatakiwa kuwa na levels muhimu mbili kweye chart yake na tatu sio lazma sana.
i) Stop Loss level, kulingana na mfumo wake wa risk alivyouweka i.e not exceeding 20pips for SL per setup etc.
ii) Take profit level(setup target level),kulingana na technical analysis aliyofanya bhas itampa target ya setup.
NB: Trader hatakiwi kuweka Target kulingana na matakwa yake ni Technical analysis itakupa uelekeo..🙃✅
Cha mwisho ambacho ni option sio lazma;
iii) Partial profit levels, taking partial profits ina faida kubwa…chukua profits kadhaa kama unataka hlf acha soko liendelee.
Lastly,
→ Breakeven level: after a certain pips(targets) being achieved protect the trade and let the BIAS guide you.
Ukiwa makini kwny trading utajifunza vingi sana;
Mfano:
→ Trading inahtaji Subira wakat wa kusubiria setup yako then utajifunza kuwa patience trader.
→ Trading inahtaji Kiwango kizuri cha kurisk pesa yako(Good risk managemnet)then utajifunza kuwa na risk taker mzuri.
→ Trading inahtaji uweze ku-control hisia zako sokoni na wakati wa maamuzi then utajifunza namna ya control hisia zako automatically.
→ Trading inahtaji mazoezi ya charts mara kwa mara then utajifunza kuwa chart reviewer mara kwa mara pia.
→ Trading inahtaj Umakini wa hali ya juu then utajifunza kuwa makini kama sio kuwa makini bhas kujaribu kuwa makini.
→ Trading inahtaji maarifa yasiyo na kikomo uwe mtu wa kujifunza kila sku kupitia charts then utajifunza kuwa mtu wa namna hyo(learning different trading scenarios) Etc..vipo vingi tunavyojifunza kupitia trading.
NB: TRADER MAKINI BHS NI SIMPLE KWAKE KUJIFUNZA HAYA.
Sio profit tu na mafunzo mengi tunayapata kupitia forex trading.🙃
Uzuri wa Demo account ku-win trades ni simple sana halafu;
•Huumii ukipoteza.
•Unaingia popote unapotaka.
•Risk yyte unaweka hlf safi.
•No stress at all.
Ubaya ni una-make na hutoi hata ukiwa na shida🙂
Weka 10$ hiyo upate uchungu kdg wa kupoteza.
Kuna mtu aliwahi ikuza 5$ mpk 15$ akapga target za kufikia 100$ kilchotokea akalambwa 15$ yote akajisemea tu “BORA NINGEWITHDRAWAL ILE ILE 15$”
Mtu kama huyu anaelewa ni nini trading, ni nini maumivu ya kuchoma kibanda🙂
Weka pesa upge pesa🫵🏾
Wali’afuwa minkum - Wahadha-salaam alaykum warahmatullah wabarak
@cr_xniper Bro vep kuhusu swala la positions za kuweka ili MTU aweze kucontrol trade yake alochukua unaweza kutia neno hapo ni moja ya kitu kinanisumbua Sana na mara nyingi Sana natolewa na BE nikiwa sijachukua chchte sababu naweka 1 position
Mbinu ya kujifunzia ku-control trading emotion yako na kuimarisha trading consistency.
Weka sheria yako moja:
↳ Fanya Kila trade utakayochukua bhas target yako lazma ufunge na 30pips fanya hivi kwa miezi mitatu mfululizo.. ACHA TAMAA funga ikifika tu pips 30 kwa trade.
Then
↳ Ukiweza kufanya hvyo uta-change target na target inayofata fanya iwe 50pips fanya hvi kwa miezi mingine mitatu…ACHA TAMAA funga trade ikifika tu 50pips.
Then fanya ni continuation process,
↳ Fanya hvyo pia kwa target nyingine kama 70pips kwa miezi kadhaa na uendelee kwa 100pips na kuendelea mbele..
Hii technique itaimarisha Consistency yako,utacontrol trading emotion yako na yawezekana ikakusaidia kuanza kuweza kuswing trades.
Ilinisaidia inaweza pia ikakusaidia.
Fanyia kazi.
RAMADHAN MUBARAKA.
Chagua njia yako pita.
Trading huwa haihitaji kuigana.
For istance: Endapo utaniona mimi na-trade kwa MSM haimaanishi uachane na PPA unayotumia while inakupatia pesa then uje kwny MSM nawewe et kisa umeniona mimi.
- Endapo utaniona natumia lot 0.5 bhas haina maana uige nawew kutumia lot 0.5 wakati haiendani na capital uliyonayo tumia kulingana na ulchonacho.
Kuna namna while tunajifunza Trading vipo vitu (trading concepts) ambazo moja kwa moja unaziona kuwa ni rahisi kwako kukupatia matokeo then FOCUS nazo hzo.
Yawezekana umefundshwa concepts 10 ila hii haina maana ya kwamba ni lazma zote KUZI-MASTER ila hakksha kweny hzo 10 unazo mbili or tatu zenye kukupa trading nzuri.
Thats why nasema Chagua njia yako pita, kuna njia zingne ztakutoa KAFARA njiani bila ya kufanikisha.
Kwny huu ushauri wapo watauchukua na kufanyia kazi na wapo ambao wataukataa…Always ulimwenguni ziko two sides (Proposer&Opposer)
Chagua upande wako hlf kazi ziendelee.
GUDU BAYI | Shalom shalom🤝🏾
At the end of the day “ As a trader work hard and smart.”
Trade hard (put in effort) -study the market, practice, be disciplined, and stay consistent.
Trade smart (trade wisely) - use a plan, manage risk, don’t overtrade, and make decisions based on logic and not emotions.
This is how we do trade and this is how you need to trade the market..
Simplicity | MSM💯
SETUP NAMBA 04 NA MFANO WAKE
NB: Kila setup ni Mfumo (System) kumaanisha kuwa, kuna muunganiko wa Factor nyingine zaidi ya tatu mpaka kufikia kuchagua kuweka entry (Hii ni summary). Kwa maana hiyo, chagua kwenda ku Backtest, na kuunganisha sababu nyingine za Msingi kujiridhisha.
SETUP NO 3
Hii ni 3Min structure, the first Range ina Visibility hadi 5Min, lakini the second one inaonekana only kuanzia kwenye 3Min. So hii ya kwanza ni Inducement!
Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂).
Hii ni mifano ya Bactesting. Kwa ambazo nimeforward Test zipo kwenye series ya Charts zangu ambazo nimeshaa wahi kushare na ninyi kwenye huu ukurasa wangu. Huwa nna Notebooks na Counter books zina maelezo mengi (ambayo nimeandika mara nyingi zaidi nilipokuwa nikitrade au nikiwa nabacktest), lakini hapa nitashare Summary ya Notebook yangu!
Chimbuko la Hizi setups ni kujibobeza katika kujifunza Technical, kusoma tabia za namna Gold ina react katika maeneo Tofauti (Maeneo korofi), mwenendo wa mfanano wa idadi ya Pips price inavyotembea, na tofauti ya mjongeo wa Gold kulingana na Mabadiliko ya Soko. Nimebactest sana.. Na nimetrade sana kiasi cha kunifanya niamini na Kujiamini zaidi kwenye hiki ninacho kifanya. KWENYE KILA SETUP HAPO, HAKUNA SL INAYOZIDI PIPS 25 NA HAKUNA TP INAYOPUNGUA PIPS 100.
NB: MSIJADILI KUHUSU MWANDIKO WANGU, UKISHINDWA KUSOMA JITAHIDI KUELEWA LUGHA YA PICHA (Hata hivyo sijaweka maelezo ya Kina)😁.
SETUP NAMBA 1 NA MIFANO YAKE