Nimesikiliza wimbo mpya wa Khali Carter 5,
Kutoka kwa Khaligraph Jones,
Ambapo humo ndani kashirikisha Rappers toka Kenya π°πͺ, uganda πΊπ¬, na Tanzania.
Nikaridhika Kuwa Tanzania Tumo pia kwenye Soko la Rap.
Sikia verse ya Mex tz na fresh like Uh kutoka Tz
Video kwa Comments
The popularity of Azam taxis in Kigamboni demonstrates Tanzanians' desire for improved, faster transportation. Despite fares more than doubling, demand remains strong, proving that convenient, well-presented services can generate substantial returns.
Mcongo amechukua fedha za watz kwa kuwaahidi kuwaombea watokwe na watu waliowaloga, sasa hivi anawacheka na kuwadhihaki, hamjifunzi bado mnanunua maji kwa bei ghali kwa mtu wa mfano wa mcongo kwa madai ya kuwaombea
@TigoTanzani something is wrong with shortcode 15502, it subscribes me without my consent, I consider this as stealing for taking Tsh. 200 daily from my pocket.
Kindly fix your VAS.