@420Cousin Umeongea point Sana, sikuwaza hayo, now nimewaza naona Sura yake. Ngoja tuendeleze kufatilia baada ya hapa tuone sasa Bunge Lina nguvu ipi na wabunge waliopo Wana uwezo gani.
@IAMartin_@airtel_tanzania Chief hamia TTCL fiber hautajutia. 55k unaseleleka mwezi mzima na devices hata 10 unlimited bando wala sio speed. Hizi kampuni za simu za mkononi wabaki kwenye sms na calls tu, wifi waachie TTCL.
@prossoff Wengine ngumu kuvunja sababu ya huruma tu. Unamuonea huruma huyo mtu ukiamuacha jinsi atavyokua, especially kama wewe ni sole provider in most of her issues ππΏ
@prossoff Bado binti mdogo. Hakushauriwa mapema sio lazima ndoa za haraka. Aombe tu talaka amalize ujana akiwa tayari ataolewa tu au hata hatoolewa sio mbaya